Matukio ya picha katika tamasha la kusifu na kuabudu lililoandaliwa na Manukato Choir ya FPCT-Nkuhungu.
Waimbaji mbalimbali kutoka kila kona ya Dodoma walikusanyika kanisani hapo kumsifu na kumuabudu Mungu mkuu kwa pamoja.
Watu kutoka kila kona ya Dodoma walikusanyuka FPCT-Nkuhungu kumsifu Mungu kwa pamoja. Hakika Mungu alionekana akiwahudumia watoto wake kupitia tamasha hili kubwa la kusifu na kuabudu.
Wana praise walishusha nguvu ya Mungu kwa sauti zao zikiambatana na muziki uliopigwa kwa ustadi wa hali ya juu.
Hakika napendeza sana ndugu kukaa pamoja kwa umoja wakipaza sauti zao kumsifu Mungu wao.
MUNGU AKUBARIKI