Sunday, June 7, 2015

MOTO WAWAKA UZINDUZI WA BRO. ELLY TIMOTHY...

Uzinduzi wa Bro. Elly Timothy wa Album mbili ya TAWALA (Audio) na AMEFANYA (DVD) umekusanya watu mbalimbali kutoka kila kona ya jiji la Dodoma na kuwakutanisha wote katika kanisa la FPCT - Chamwino.

Bro. Elly Timoth akiimba wimbo wa TAWALA...



Kanisa lilifulika watumishi kutoka kila kona ya Dodoma.


No comments:

Post a Comment