Sunday, June 7, 2015

MKESHA WA UMOJA WA VIJANA MAKANISA YA FPCT - DODOMA MJINI

Haleluyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..... Hakika Mungu ni mwema
Baadhi ya picha za mkesha wa vijana wa umoja wa makanisa ya FPCT - Dodoma mjini
 Pator Kishimbo akiongoza ratiba nzima ya mkesha wa vijana FPCT-Chamwino

 Katibu (kushoto) na M/Kiti wa vijana wa FPCT-Nkuhungu wakifurahia uwepo wa Mungu katika mkesha huo wa Kusifu, Kuabudu na Maombi

 SOJONA Brothers wakiimba akapela...

  
Wanamuziki hawakuwa nyuma kuhakikisha sifa zinavuma

 
Watu wote walimsifu Mungu kwa furaha kuu..
 
 Pastor Rodrick Meshack Ngome akifundisha neno la Mungu 

No comments:

Post a Comment